TUJIANDIKISHE NA TUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
12 Oct, 2024
Pakua
TUJIANDIKISHE NA TUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
KUWA MZALENDO JIANDIKISHE KUPIGA KURA
Tarehe: 11 - 20 Oktoba, 2024
"Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi."
Emily Ntangwa - Mkurugenzi wa Usimamizi na Ununuzi DAWASA
#DAWASA Tupo tayari kujiandikisha