TUNAKUTAKIA IJUMAA KAREEM
13 Jun, 2025
Pakua

TUNAKUTAKIA IJUMAA KAREEM
"Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."
(Surat Az-Zumar, 39:53)