TUNAKUTAKIA IJUMAA KAREEM
15 Aug, 2025
Pakua
TUNAKUTAKIA IJUMAA KAREEM
"Wala msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika hakuna anayekata tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu isipokuwa watu waliopotea."
Surat Yusuf (12:87)
