TUNAKUTAKIA RAMADAN KAREEM
02 Mar, 2025
Pakua

TUNAKUTAKIA RAMADAN KAREEM
Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatakia Watanzania na Waislamu wote heri ya Mwezi mtukufu wa Ramadan.