TUNAKUTAKIA SIKUKUU NJEMA YA EID AL - ADHA
07 Jun, 2025
Pakua

TUNAKUTAKIA SIKUKUU NJEMA YA EID AL - ADHA
Eid Al - Adha ni wakati wa kujitoa kwa ajili ya Allah, kama alivyofanya Nabii Ibrahim (A.S). Allah asema; 'Hakika Sala yangu, ibada zangu, uhai wangu na kufa kwangu ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu." - (Qur'an 6:162)