Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UFAHAMU MKOA WA KIHUDUMA DAWASA CHALINZE
01 Jul, 2024 Pakua

UFAHAMU MKOA WA KIHUDUMA DAWASA CHALINZE

Ofisi ya kihuduma DAWASA Chalinze inapatikana Kata ya Lugoba eneo la friendsconner karibu na machinjio ya Lugoba.

DAWASA Chalinze inahudumia wakazi takribani 12000 katika kata 21 ambazo ni Vigwaza, Pera, Bwilingu, Ubena Zomozi, Msoga, Lugoba, Msata, Kiwangwa, Mandera, Mioni, Mkange, Kimange, Mbwewe, Talawanda, Fukayosi, Makurunge, Gwata, Magindu, , Fukayosi, ,Visezi na Manga- Mkata

Wasiliana nasi
Huduma kwa wateja 0800110064 (Bure) au Huduma kwa wateja DAWASA Chalinze 0752 801 178