Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UFAHAMU MKOA WA KIHUDUMA DAWASA ILALA
08 Jul, 2024 Pakua

UFAHAMU MKOA WA KIHUDUMA DAWASA ILALA

Ofisi ya kihuduma DAWASA Ilala inapatikana katika eneo la Zanaki kata ya Upanga karibu na Chuo Kikuu cha Mzumbe.

DAWASA Ilala inahudumia wakazi takribani 27,920 katika kata 11 ambazo ni Upanga Magharibi, Upanga Mashariki, Kisutu, Gerezani, Kariakoo, Ilala, Jangwani, Buguruni, Mchikichini, Mchafukoge na Kivukoni.

Wasiliana nasi
Huduma kwa wateja 0800110064 (Bure) au Huduma kwa wateja DAWASA Ilala 0736 451 879