UFAHAMU MKOA WA KIHUDUMA DAWASA MAKONGO
25 Sep, 2024
Pakua
Ofisi ya kihuduma DAWASA Makongo inapatikana eneo la Makongo darajani kata ya Makongo karibu na chuo cha ardhi
DAWASA Makongo inahudumia wakazi takribani 21,100 katika kata sita(6) ambazo ni Makongo, Goba, Ubungo, Mbezi juu, Mbezi, Kimara
Wasiliana nasi
Huduma kwa wateja 0800110064 (Bure) na Huduma kwa wateja DAWASA Makongo - 0736 602 601