USIKUBALI KUMALIZA MWEZI JULAI NA DENI LA MAJI
30 Jul, 2024
Pakua
Lipa sasa kwa kutumia Mitandao ya Simu na Benki Washirika ambazo ni;
Mitandao ya Simu
AIRTEL MONEY, T-PESA, HALOPESA, TIGOPESA na M-PESA
Benki Washirika
NMB, NBC, STANBIC BANK, ABSA, CRDB BANK, TCB na AZANIA BANK