USIKUBALI KUTAPELIWA
24 Jun, 2025
Pakua

USIKUBALI KUTAPELIWA
DAWASA inakukumbusha Mteja wake kuwa Malipo yote ya huduma za Maji hufanyika kupitia mfumo wa Malipo ya Serikali kwa kupata Kumbukumbu Namba (Control namba) kupitia Mitandao ya Simu na Benki washirika.
MITANDAO YA SIMU - Airtel Money, M-PESA, Mixx by Yas, T-PESA na Halopesa
BENKI WASHIRIKA - CRDB Bank, NMB, NBC, Azania Bank, ABSA na Stanbic Bank
Usitoe pesa mkononi ni Kosa!