WAJANJA WOTE WAMEANZA MWEZI JULAI BILA DENI LA HUDUMA ZA MAJI
02 Jul, 2025
Pakua

WAJANJA WOTE WAMEANZA MWEZI JULAI BILA DENI LA HUDUMA ZA MAJI
Hujachelewa lipia kupitia Simu au Benki
MITANDAO YA SIMU: M-Pesa, Halopesa, Mixx by Yas, T-Pesa na Airtel Money
BENKI WASHIRIKA: NBC, NMB, CRDB Bank na Stanbic Bank