Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Tamasha la kutangaza fulsa za maendeleo na kupinga ukatili wa kijinsia
27 Apr, 2023 08:00AM - 4:30PM
Viwanja vya leaders club Jijini Dar es salaam
info@dawasa.go.tz

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (Mb) kulia akipata maelezo ya uboreshaji huduma za Maji kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Joseph Mkonyi kuhusu upatikanaji wa huduma za katika tamasha la kutangaza fursa za Maendeleo na kupinga ukatili wa kijinsia lililobeba kauli mbiu "Zijue fursa kataa ukatili"  katika viwanja vya leaders club Jijini Dar es salaam.

Tamasha la kutangaza fulsa za maendeleo na kupinga ukatili wa kijinsia