ZIARA YA KAMATI YA BUNGE KATIKA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU JUU
29 Aug, 2026
09:00AM - 11:00AM
Upper Ruvu Treatment Plant
dawasa.go.tz
Ziara ya Kamati ya Bunge ya Mazingira na Maji, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Jackson Kiswaga ilipotembelea na kukagua Mtambo wa Uzalishaji Maji Ruvu Juu uliopo Mlandizi Mkoani Pwani kujionea hali ya uzalishaji, uendeshaji pamoja na maendeleo ya ufungaji wa pampu hizo.
