Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
AWESO RASMI DAWASA MTAA KWA MTAA
27 Aug, 2024
AWESO RASMI DAWASA MTAA KWA MTAA

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewasili katika ofisi za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) tayari kwa kushiriki kampeni ya DAWASA Mtaa kwa Mtaa inayoanza katika Kata za Kunduchi na Mbweni.