DAWASA KUSHIRIKI MAJI CUP 2025
21 Jul, 2025

Mwakilishi wa Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA, CPA (T) Rithamary Lwabulinda amekabidhi jezi za mpir kwa wachezaji wa timu ya soka ya DAWASA ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ushiriki katika michuano ya Maji Cup yatakayoanza Julai 19, 2025 Mkoani Tanga.
Michuano ya Maji Cup kwa mwaka huu yamebeba kaulimbiu isemayo Tunaangazia Mafanikio ya Sekta ya Maji chini ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita.