DAWASA MTAA KWA MTAA YASHIKA KASI WAZO NA GOBA

DAWASA Mtaa kwa mtaa yashika kasi Wazo na Goba
DAWASA Mtaa kwa Mtaa ipo Wilaya ya Kiondoni katika kata za Goba na Wazo kuanzia tarehe 19 - 21 Septemba 2024.
Huduma zinazopatikana katika Dawati ni pamoja na;
☑️Kupokea maombi ya huduma za Maji
☑️Kutoa Kumbukumbu namba (Control namba) kwa wateja waliokamilisha taratibu za kupata huduma ya Maji
☑️ Kutatua changamoto za ankara ya maji
☑️kupokea taarifa za uvujaji wa miundombinu ya maji
☑️Kushughulikia changamoto za ukosefu wa huduma ya maji,
☑️ Kurejesha huduma kwa wateja waliomaliza madeni ya huduma za maji
Wananchi maeneo yafuatayo mnakaribishwa
Madale, Mivumoni, Kilimahewa, Modemba, Nyakasangwe, kazi moto, Sandawe, Uzunguni na Tegeta A
Dawati la DAWASA lipi eneo la Wazo katika Tanki la Maji mkabala na Supermarket ya Viva.