Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA WANYOOSHA LUV DAMDAM MARATHON MSIMU WA SITA.
16 Feb, 2026
DAWASA WANYOOSHA LUV DAMDAM MARATHON MSIMU WA SITA.

Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) wameshiriki kukata upepo katika mbio za Marathon zilizoratibiwa na Kituo Cha Habari Clouds Fm.

Mbio hizo zinazoratibiwa kila mwaka kwa lengo la kufurahia na kudumisha upendo zimetamatisha Msimu wa wake sita zikikutanisha pamoja mashirikaa binafsi, Taasisi za umma pamoja na watu binafsi.