Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA YABAINISHA MAFANIKIO UTOAJI HUDUMA MIAKA MITATU YA MHE. RAIS SAMIA
03 Nov, 2024
DAWASA YABAINISHA MAFANIKIO UTOAJI HUDUMA MIAKA MITATU YA MHE. RAIS SAMIA

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire akizungumza katika kipindi cha Clouds TV kuelezea hali ya upatikanaji wa majisafi kwa Mkoa wa Dar es Salaam na jitihada zilizofanyika za uboreshaji wa huduma kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.