DAWASA YAKARIBIA KILELE KILIMANJARO MAADHIMISHO MIAKA 63 YA UHURU
11 Dec, 2024

Timu ya Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam ( DAWASA) wakiendelea na zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro ikiwa ni shamrashamra ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Bendera ya Taifa inategemewa kufikishwa kilele cha Mlima Kilimanjaro Leo, Desemba 9, 2024.
Kauli mbiu ya Maadhimisho ya miaka 63 uhuru ni "Uongozi madhubuti na ushirikishwaji wa Wananchi ni msingi wa maendeleo yetu."