Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA YASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA ARUSHA
07 May, 2024
DAWASA YASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA ARUSHA

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wameshiriki maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika kitaifa jijini Arusha katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid ambapo Mgeni Rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya Mei Mosi kwa mwaka huu ni: Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha.