Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO HUDUMA YA MAJI MBEZI BEACH
15 May, 2024
MABORESHO HUDUMA YA MAJI MBEZI BEACH

Kazi ya kudhibiti upotevu wa maji katika bomba la inchi 8 inaendelea kutekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika eneo la Mbezi Goigi

Kukamilika kwa kazi hiyo itasaidia kurejesha na kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji kwa wakazi wa maeneo ya Afrikana, Juliana,NSSF,Makonde, Tank Bovu, Flamingo, Louvent, Kwa Kakobe, Mtaa wa Hekima, Kwa Malechela, BOT, Rungwe, Efm, St. Aloysius, Art Gallery, Kwa Kasulu, Shabaha, Kwa Lukuvi, Liberman, Shoppers,Oasis, Mtaa wa Almas, Kidimbwi, Rainbow,Kwa Zena na White Sand.