MABORESHO HUDUMA YA MAJI TABATA
16 Jan, 2025

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mkoa wa DAWASA Magomeni wakifanya maboresho ya huduma ya Maji katika bomba la inchi 24 kwa kutoa toleo la bomba la inchi 3 kwa lengo la kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji katika kiwanda cha Kishan pamoja na wakazi wa maeneo mengine ya jirani ya Tabata Aroma, kisiwani na Tabata Relini.