Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJI CHALINZE
05 Sep, 2024
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJI CHALINZE

Mamlaka ya majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuptia mkoa wa kihuduma DAWASA Chalinze imefanya maboresho katika miundombinu ya maji eneo la Kwa Liemba Msolwa  kwa kubadilisha kipande cha bomba chakavu kwa umbali wa mita 400 katika bomba la inchi 12".

Kukamilika kwa matengenezo haya kutarahisisha  upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Vijiji vya Mdaula,Msolwa,
Matuli,Ubena,Kizuka, Mtambani, na Lulenge.