Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJI KIPAWA
04 Jun, 2024
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJI KIPAWA

Kazi ya matengenezo ya bomba la inchi 6 ikitekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) - katika Wilaya ya Temeke eneo la kiwanda cha samaki Kipawa.

Kazi hiyo imetekelezwa kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa Maji kwa Wananchi wa Kiwalani na eneo la Kiwanda cha Pepsi.

Matengenezo hayo ni sehemu ya jitihada za DAWASA za kuhakikisha  upatikanaji wa huduma ya maji unaendelea kuimarika katika eneo lake la kihuduma.