MATENGENEZO YA UMEME WAZO MBIONI KUKAMILIKA.

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA), Ipo hatua za ukamilishaji wa matengenezo ya umeme katika kituo cha kusukuma maji Wazo one, katika kata ya Wazo Wilayani Kinondoni.
Matengenezo haya yalitokana na hitilafu ya umeme katika kituo cha kusukuma maji yatakamilika leo, Mei 20,2025
Kukamilika kwa matengenezo haya kutaboresha huduma ya maji kwa wakazi wa maeneo ya
Njia panda ya Kinzudi, Oysterbay, Mkomeni, Moga, Japhet, Matairi matatu, Frame nne Kibululu, Nassar, TripleB, Kisanga A, Kisanga B, Mafuriko, Bwawani, Bankimoon, Ipinda, Kontena, Umoja road, Zanzibar, Mashamba ya jeshi, Machimbo, Nakalekwa, Msigani, Uwata, Madale, Mivumoni center, Atlas, Valley view, Kisiwani, Kanjibah, Kulangwa, Mivumoni Kusini, Future, Vangameli, Dangote, Tegeta A, Goba Mpakani, Uwanja wa Nike, Goba center, Modamba, Ulungwini, Lastanza, Kwa awadhi, Msikiti wa Pazi, Adora, na Serikali za mtaa Goba, Savana, Kwa bwege, Mji Mpya, Kwashufa, Hekima, Tanzania, Paris Bar, Matosa halisi, Shimbikati Matosa uzaramoni, Goba njia nne, Cha urembo, Uhuru road, Kwa Mathias Kilimanjaro, Ukawa, Mlimani city, Goba Mpakani, Upendo, Smart way, Jangwani, Posoa, Makarani, Wall paving Madawa, Madina na Msiri