Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MKUTANO WA DAWASA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
07 Aug, 2024
MKUTANO WA DAWASA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire akizungumza na Wahariri na Waandishi wa vyombo vya habari nchini kuhusu hali ya upatikanaji wa majisafi na usafi wa Mazingira sambamba na kueleza mipango iliyopo ya kuboresha huduma ya maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam, Pwani na maeneo ya pembezoni. 

Mkutano huu umeratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kufanyika katika ukumbi wa Mikutano wa JNICC.