Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
NAIBU WAZIRI WA MAJI, MHANDISI KUNDO AFANYA ZIARA DAWASA
24 Jun, 2024
NAIBU WAZIRI WA MAJI, MHANDISI KUNDO AFANYA ZIARA DAWASA

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) amewasili Mkoani Dar es salaam kwa ziara ya siku moja ya kukagua maboresho ya huduma Maji inayosimamiwa na  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA). 
Naibu Waziri anatembelea Wilaya ya Ubungo na kujionea miradi ya Majisafi na Usafi wa Mazingira inayoendelea kutekelezwa katika eneo hilo.