Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
SINZA C WABORESHEWA HUDUMA YA MAJI
08 Apr, 2025
SINZA C WABORESHEWA HUDUMA YA MAJI

Kazi ya ulazaji wa bomba la inchi 3" kwa umbali wa mita 600 katika eneo la Chuo cha Sheria, kata ya Sinza C wilaya ya Ubungo inaendelea kutekelezwa na Mamlaka kupitia Mkoa kazi wa kihuduma DAWASA Magomeni.

Kukamilika kwa kazi kutaimarisha msukumo wa maji kwa Wakazi takribani 300 wa maeneo ya Shebofu, Namnani, Chuo cha sheria na Mseleleko