Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UBORESHAJI MIUNDOMBINU KIMARA
15 Jun, 2024
UBORESHAJI MIUNDOMBINU KIMARA

Kazi ya kuunganisha Bomba la inchi 6 katika eneo la Msigwa, Kimara kwa lengo la kuzuia uvujaji imetekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).

Kazi hii ni muendelezo wa jitihada zinazofanywa na Mamlaka za kupunguza kiwango Cha maji kinachopotea ili kufikia kiwango cha asilimia 35 kinachopendekezwa na Serikali.