Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UHAKIKI UBORA WA MAJI UNAENDELEA ILALA
09 May, 2024
UHAKIKI UBORA WA MAJI UNAENDELEA ILALA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es  Salaam (DAWASA) kupitia watalaamu wa maabara imeendelea na zoezi la uchukuaji  sampuli za maji na kufanya upimaji wa ubora Wilaya ya Ilala katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Lengo la zoezi hili ni kuendelea kuhakikisha ubora wa maji unaowafikia Wananchi ni safi na salama ili kuepuka na magonjwa ambukizi ikiwepo kuhara na magonjwa hatarishi.