Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UIMARISHAJI HUDUMA YA MAJI - TEGETA NYUKI
09 Jul, 2024
UIMARISHAJI HUDUMA YA MAJI - TEGETA NYUKI

Zoezi la udhibiti upotevu wa maji likiendelea kutekelezwa na mafundi wa DAWASA katika bomba lenye ukubwa wa inchi 6 eneo la Tegeta Nyuki ili kuimarisha huduma ya Majisafi.

Udhibiti upotevu wa maji umekua kipaumbele cha Mamlaka katika eneo lake la kihuduma na kukamilika kwa kazi hii kutanufaisha wakazi wa eneo la Tegeta Nyuki wanaohudumiwa na Bomba hilo.