Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UIMARISHAJI WA HUDUMA YA MAJI TABATA
23 Jul, 2024
UIMARISHAJI WA HUDUMA YA MAJI TABATA

Ufuatiliaji wa huduma ya Maji katika Wilaya ya Ilala katika maeneo ya Tabata Segerea, Tabata Chang'ombe na huduma inaendelea kupatikana kwa wananchi kwa msukumo mzuri.

Ni dhamira ya Mamlaka kuhakikisha huduma ya Maji inawafikia Wananchi wengi .