USAFI WA MAZINGIRA NI UTU - KINONDONI
02 Feb, 2024

Kazi ya uzibuaji na usafishaji wa wa miundombinu ya majitaka ikiendelea katika maeneo ya Sayansi, Kijitonyama-Costech, Mwenge Kilimanjaro, Uwanja wa KMC pamoja na Mwenge Zahanati ili kuiruhusu kufanya kazi kwa ufanisi na kuzuia utiririshaji majitaka unasababisha uchafuzi wa mazingira.
Usafi wa Mazingira ni kipaumbele cha Mamlaka katika eneo lake la kihuduma ili kuepusha magojwa ya mlipuko kama vile kipindupindu.