WAZIRI AWESO ATINGA KIBAMBA KUKAGUA HUDUMA YA MAJI
03 Jul, 2024

"Leo tumefanya ukaguzi na tupo katika tenki hili la kuhifadhi maji Kibamba na tunaona maji yamejaa kabisa, niseme hakuna sababu ya wananchi kukosa huduma ya maji, niwatake DAWASA twende tukawahudumie wananchi kwa weledi na kila mwananchi apate huduma"
Mhe. Jumaa Aweso,
Waziri wa Maji.