Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
Ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) katika Mtambo wa uzalishaji maji Wami
06 Sep, 2023
Ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) katika Mtambo wa uzalishaji maji Wami

Naibu Waziri wa Maji Mhe.Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) wa pili kulia akipokea maelezo ya upanuzi  wa Mtambo wa uzalishaji maji Wami kutoka kwa Meneja wa mtambo wa uzalishaji maji Wami DAWASA Mhandisi Emaculata Msilama alipotembelea na kukagua utekelezaji wa Mradi wa Chalinze awamu ya tatu.