Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
ZOEZI LA USOMAJI MITA TABATA LINAENDELEA
15 May, 2024
ZOEZI LA USOMAJI MITA TABATA LINAENDELEA

Usomaji mita za Maji shirikishi kati ya Mamlaka na Mteja unaendelea kutekelezwa katika maeneo na mitaa mbalimbali katika Mkoa wa kihuduma DAWASA Tabata 

DAWASA inatoa rai kwa Wateja wote kutoa ushirikiano kwa wasoma mita wanaopita katika makazi ya watu na zoezi litakamilika Mei 20, 2024.

Kwa msaada  zaidi wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja namba 0800110064(Bure) na 0735-202121 WhatsApp tu.