Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA KWA WANANCHI WA BAGAMOYO HADI ILALA
21 Sep, 2026 Pakua

TAARIFA KWA WANANCHI WA BAGAMOYO HADI ILALA

Kuomba radhi kukosekana kwa huduma

18.9.2026

Ndugu Mteja, tunaomba radhi kukosekana kwa huduma ya Maji leo, Septemba 18, 2026 kwa baadhi ya maeneo yanayohudumiwa na Mtambo wa Ruvu Chini kwa maeneo ya Bagamoyo hadi Ilala. Mafundi wameshughulikia na huduma imeanza kurejea mitaani.

Tunatarajia hadi kufikia Saa 3 Usiku huu maeneo mengi yatakuwa yamepata huduma kikamilifu.

Tunaomba radhi kwa kukosekana kwa huduma ya maji.