BWAWA LA KIDUNDA LITASAIDIA KUPATA MAJI KIPINDI CHA UKAME
12 Dec, 2025
Pakua
Dondoo za Mkutano na Wahariri wa vyombo vya Habari, Dar es Salaam.
BWAWA LA KIDUNDA LITASAIDIA KUPATA MAJI KIPINDI CHA UKAME
"Tunaendelea na ujenzi wa Bwawa la Kidunda ambalo kwa miaka ijayo litasaidia kupata maji ya uhakika hata wakati wa Kiangazi, litaweza kusaidia upatikanaji wa maji kwa kipindi cha ukame kwa miezi mitatu au zaidi bila ya mvua kuwepo"
Mhandisi Mkama Bwire, Afisa Mtendaji Mkuu, DAWASA
