DAWASA YETU - WIKI HII
08 Sep, 2025
Pakua
Gazeti mtandao wiki hii
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mheshimiwa Albert Msando amefanya ziara katika Mtambo wa Uzalishaji Maji Ruvu Juu kwa lengo la kuona na kujiridhisha hali ya uzalishaji wa maji katika mtambo huo.
