FAIDA ZA USOMAJI MITA SHIRIKISHI
12 Mar, 2025
Pakua

FAIDA ZA USOMAJI MITA SHIRIKISHI
Ndugu Mteja, fahamu umuhimu wa usomaji mita shirikishi;
1. Kuhakiki usomaji wa Mita kwa pamoja.
2. Kumwezesha mteja kujua kiasi cha maji aliyoyatumia na kiasi cha bili atakachodaiwa.
3. Kuongeza uaminifu wa Taasisi kwa wateja.
4. Kupunguza malalamiko kwa wateja.
5. Kuimarisha mahusiano mazuri na wateja.
6. Kuwarahisishia wateja kulipa bili ya maji kwa wakati.