Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
HAKIKI USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI
12 Aug, 2024 Pakua

Ndugu Mteja, zoezi la usomaji mita linaendelea katika maeneo ya kihuduma DAWASA. Tafadhali hakiki usomaji wa dira yako ya maji iliyowasilishwa kwa njia ya ujumbe mfupi (SMS) kabla ya ankara yako kuandaliwa.

Endapo utabaini changamoto katika usomaji, wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (Bure) na 0735 202 121 (WhatsApp tu) au tembelea ofisi ya DAWASA iliyo karibu nawe.