HERI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
10 Mar, 2025
Pakua

HERI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Tarehe 8 Machi, 2025
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, 2025; Wanawake wa DAWASA wapo imara katika kuimarisha Haki, Usawa na Uwezeshaji ili kuhakikisha wanamtua Mama Ndoo ya maji kichwani.