Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
HERI YA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA 2026
05 Oct, 2026 Pakua
HERI YA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA 2026

HERI YA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA 2026

"Ndugu Mteja wa huduma za DAWASA tunakushukuru kwa kuendelea kutumia huduma zetu. Tunapoadhimisha wiki ya huduma kwa Wateja inayoadhimishwa tarehe 5.10.2026 hadi 9.10.2026 tunakuahidi kuendelea kutoa huduma bora, zenye viwango huku tukivuka matarajio ya wateja wetu."

CPA Rithamary Lwabulinda
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja - DAWASA