IJUE SHERIA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA
09 Dec, 2024
Pakua
IJUE SHERIA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA
SHERIA YA MAJI NAMBA 5/2019 INAAINISHA MAKOSA YA JINAI NA ADHABU ZAKE
Ndugu Mteja, Fahamu kuwa kuchezea dira ya maji ili kufanya udanganyifu wa maji uliyoomba ni kosa la Jinai.
ADHABU ZAKE:
1. Kulipa faini ya Tsh 500,000 hadi Milioni 10.
2. Kifungo cha miezi 6 mpaka miaka miwili (2).
3. Endapo kosa litajirudia faini Tsh Milioni 10 hadi Milioni 20.
4. Kifungo cha miaka miwili (2) hadi miaka mitano (5).
EPUKA KOSA HILI KWA KUENDELEA KUTUNZA DIRA NA MIUNDOMBINU YA MAJI.