Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
JE, USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI UMEKUA SHIRIKISHI?
14 Apr, 2025 Pakua
JE, USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI UMEKUA SHIRIKISHI?

JE, USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI UMEKUA SHIRIKISHI?

Ndugu Mteja, zoezi la usomaji na uhakiki wa mita linaendelea mtaani kwako hadi tarehe 15/04/2025. Hakikisha unashiriki katika zoezi hili kwa kusoma na kuthibitisha usahihi wa usomaji katika dira yako kabla ya bili haijatoka.

Endapo hujasomewa mita yako tafadhali wasiliana na kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (Bila Malipo).