Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
JE WAJUA HASARA ZA KUTOLIPA BILI YA MAJI KWA WAKATI?
19 Jul, 2024 Pakua

JE WAJUA HASARA ZA KUTOLIPA BILI YA MAJI KWA WAKATI?

1. Mteja kusitishiwa huduma ya Maji.

2. Mteja kulipa gharama za faini ya kurejeshewa huduma iwapo huduma itasitishiwa. (Tsh. 15,000/=)

3. Mteja ataanza upya mchakato wa maombi ya kuungiwa huduma (endapo mtandao wa maji utaondolewa).

4. Kukwamisha jitihada za Mamlaka kuboresha huduma.