JUMAA MUBARAK
11 Sep, 2026
Pakua
JUMAA MUBARAK
Hakuna mja atakayetenda dhambi, akatawadha kwa uzuri, kisha akasimama kuswali rakaa mbili, kisha akamuomba Allah msamaha isipokuwa Allah atamsamehe.
(Sahih Abi Daudi: 1521)
