LIPA BILI ZA MAJI KWA VODACOM
29 Sep, 2026
Pakua
LIPA BILI ZA MAJI KWA NJIA YA VODACOM M - PESA
1. Piga *150*00#
2. Chagua Namba 4. Lipa kwa M-Pesa
3. Chagua Namba 5. Malipo ya Serikali
4. Chagua Namba 1. Weka namba ya Kumbukumbu
5. Weka namba ya Siri na kamilisha muamala
Umefanikiwa kulipia bili ya maji kwa DAWASA kupitia Vodacom M-Pesa. Asante
