LIPIA HUDUMA ZA DAWASA KWA WAKATI
25 Mar, 2025
Pakua

LIPIA HUDUMA ZA DAWASA KWA WAKATI
Ndugu Mteja, unaweza kufanya malipo ya huduma ya maji kupitia mitandao ya simu au benki washirika ukiwa nyumbani au ofisini bila kuathiri kazi zako.
LIPIA KUPITIA MITANDAO YA SIMU
Airtel Money, T-Pesa, Halopesa, Mixx by Yas na M-Pesa
LIPIA KUPITIA BENKI WASHIRIKA
TCB, Azania Bank, Stanbic Bank, ABSA, NMB, NBC na CRDB Bank
ZINGATIA: Kuwa malipo yote ya Serikali hufanyika kutumia namba maalum ya kumbukumbu ya malipo (Control number) inayoanza na 99104.....