Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
MIXX BY YAS - LIPA BILI ZA MAJI
29 Sep, 2026 Pakua
MIXX BY YAS - LIPA BILI ZA MAJI

LIPA BILI ZA MAJI KWA NJIA YA MIXX BY YAS

1. Piga *150*01#

2. Chagua Namba 4. Lipa Bili

3. Chagua Namba 5.  Malipo ya Serikali

4. Chagua Namba 1. Ingiza namba ya Malipo

5. Ingiza Kiasi kisha weka namba ya Siri na kamilisha muamala.

Umefanikiwa kulipa bili ya maji kwa DAWASA kupitia Mixx By Yas. Asante